chiko mkunungu
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 729
- 646
Unasema hujawahi kuona nchi nzuri kama tanzania na hapo hapo unaifananisha na ulaya, vijana mnaambiwa msinywe pombe mchana wa jua kali hamsikiiWakuuu habari zenu!!!mko poa aisee hii dunia ukijua unachokifanya raha sana ukijua umekuja duniani kwa ajiri ya nn utaenjoy sana sijawai ona nchi nzuri kuishi kama Tanzania maisha ninayoishi kama nipo ulaya vile yani elimu ya form six tuuu bac imenitosha asante Mungu kwa baraka hizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
#my mind is power[emoji123] [emoji123].
[HASHTAG]#blessed[/HASHTAG] men
[HASHTAG]#mkunungu[/HASHTAG] jr...
Ww kweli jau ivi uzuri wa kitu c umetofautiana we unavyozani ulaya kuna raha zote ulaya kuna mbege ulaya kuna komoni ulaya kuna visheti ulaya kuna vitumbua ulaya kuna mandazi ulaya kuna kuna wanawake wenye big booty wenye shepu kama bongo ulaya maisha maraisi kama bongo mm nasema naishi kama ulaya it means pesa yangu imekizii kupita mahitaji yangu imezidii pesa yangu namanisha pesa yangu kubwa ukilinganisha na maitaji yangu mm ni madogo that iz y naishi kama niko ulaya mana na bakiwa na excess money ambayo aina kazi sasa kwanini nisijifananishe na mtu wa manton tu kwanza usuawai fika ulaya ww.......au unaongea tyuuu......Unasema hujawahi kuona nchi nzuri kama tanzania na hapo hapo unaifananisha na ulaya, vijana mnaambiwa msinywe pombe mchana wa jua kali hamsikii
Wenye huwa hawatambi..wao pesa ndo itamba..sasa ww unatamba maneno humu na kelele mingito be honestly and frankly speaking pesa yangu mm ya halali na nimeitolea jasho that is y natamba....
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji106]Unasema hujawahi kuona nchi nzuri kama tanzania na hapo hapo unaifananisha na ulaya, vijana mnaambiwa msinywe pombe mchana wa jua kali hamsikii
safiWe ni msomi mkubwa sana yaan umefika form six......
Mwenzio nilivyofel darasa la nne ndipo nikaingia street kusaka pesa. Sasa nina pesa nyingi mpaka akina Magu wanaongea nami kwa heshima.
easy[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji106]
tufanye kazi jamaniiMkuu
Wakuuu habari zenu!!!mko poa aisee hii dunia ukijua unachokifanya raha sana ukijua umekuja duniani kwa ajiri ya nn utaenjoy sana sijawai ona nchi nzuri kuishi kama Tanzania maisha ninayoishi kama nipo ulaya vile yani elimu ya form six tuuu bac imenitosha asante Mungu kwa baraka hizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
#my mind is power[emoji123] [emoji123].
[HASHTAG]#blessed[/HASHTAG] men
[HASHTAG]#mkunungu[/HASHTAG] jr...
easyWenye Pesa huwa hawajitapi au kujitangaza ovyo ovyo!!! Utakuwa umepiga viroba umejificha chocho, na jua hili la mchana lazima vimekulipua!!!
Tafuta hata supu ya kongoro opozee!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiwa na Pesa bila ya Nguvu za Kiume ni sawa na kuletewa Makande huku huna Meno!
Pesa ni pesa ilimradi isiwe ya kuvuja damu za watuDah .... na hasa pesa yenyewe ikiwa halali na umeitolea jasho ..πππ
Umeoa mkuu[emoji2] [emoji2]to be honestly and frankly speaking pesa yangu mm ya halali na nimeitolea jasho that is y natamba....