Raha sana

DERICK2000

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2012
Posts
203
Reaction score
35
Kupata msichana mwenye akili za kimaisha,kimaendeleo na anaeweza kukukosoa unapokwenda wrong ni raha sana.

i love my beibe!!..
 
Kupata msichana mwenye akili za kimaisha,kimaendeleo na anaeweza kukukosoa unapokwenda wrong ni raha sana.

i love my beibe!!..[/QUOTE]

haya mkuu,...all the best on you way out to your love.
 
Inshallah mwenyezi mungu akuweke mzidi kuelewana na umuowe pia....
 
INAUMA SANA.
Siku yule uliyemtegemea na kumuamini 100% anapogeuka na
kukusaliti na kufanya mambo mazito yenye kuchukiza ambayo
hukuyatarajia.
Kila la kheri.
 
INAUMA SANA.
Siku yule uliyemtegemea na kumuamini 100% anapogeuka na
kukusaliti na kufanya mambo mazito yenye kuchukiza ambayo
hukuyatarajia.
Kila la kheri.

Yanatokea mkuu.ila uaminifu ni jambo kubwa sana katika mapenzi na hukuza penzi.try to go against the agreement uone kama utafurahi hata siku moja.kila siku utaleta thread za kusalitiwa.
 
mbona mwaka mrefu huu ?

Sio ndoa ya mkeka hii mama,nampata leo,kesho namuingiza ndani..kuna kutoa mahari,kuna send on,kuna kitchen party,kuna wedding,kuna kulipa mahari...Get mE?.
 
Hongera, inaonyesha bado mapenzi hayakuliza. Sasa hii habari umewmwambia au unalonga hapa tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…