Raha sana

Raha sana

Kupata msichana mwenye akili za kimaisha,kimaendeleo na anaeweza kukukosoa unapokwenda wrong ni raha sana.

i love my beibe!!..

kaka mng'ang'anie huyo wala usimwache ni mzuri huyo. Wengine kazi kuangalia wapi wakupige mzinga wana forge hata misiba
 
Pole sana.Mimi naamini,chanzo cha mwanamke kukubadilikia ni mienendo yako binafsi.Believe me,when a woman loves,loves for real.Akibadilika,jichunguze wewe binafsi mienendo yako.He will go to search for the best one..
kweli kabisa mtu unampenda lakini yeye anakuona kama zezeta na unajipendekeza sana kwake, ukipata nafasi ya kupendwa pendeka na thamini upendo wa yule mtu.
 
I highly recommend that you wear the pants before your wife does!.

I believe that it is the man's fine duty to control the decision-making process of all family or relationship related decisions -- or at least pretend he does.

Why? Because like it or not, it is probably the only thing left in life that we men can still lay claim to. Once you lose it, you no longer have anything to look forward to.

Watch-out or you'll be wearing a skirt around the house while dusting the furniture.

.[/QUOTE]

Wow!! you have nailed it down:nod:
 
Kupata msichana mwenye akili za kimaisha,kimaendeleo na anaeweza kukukosoa unapokwenda wrong ni raha sana.

i love my beibe!!..

Im pretty sure that your mumy did a great job in raising you! Ni wanaume wachache sana wenye mawazo kama yako, hasa kuwa tayari kukosolewa na mwanamke! Mpende sana that woman and most of all mheshimu kila siku ukiwa nae karibu na hata awapo mbali na wewe.
 
Im pretty sure that your mumy did a great job in raising you! Ni wanaume wachache sana wenye mawazo kama yako, hasa kuwa tayari kukosolewa na mwanamke! Mpende sana that woman and most of all mheshimu kila siku ukiwa nae karibu na hata awapo mbali na wewe.

Kama ni kwelinaenda wrong..nafurahi sanaaaaa akinikosoa..but kama cyo..spendi.
 
I will marry her next year.

Abhaaaaaaaaa! Mi nilidhani anakufanyia hayo mkiwa tayari mmeoana, kumbe ni uchumba! Wenzio tulishabebwa wakati wa kwenda haja kubwa au ndogo au kwenda bafuni kuogoga, we unaongelewa kukosolewa! Kasheshe ni pale anapokuwa amesha 'acquire hiyo Master's yake' na wewe umepoteza huo u-bachelor wako. Hata hivyo usitishike sana kaka endelea kuamini hayo unayoyapata utaendelea kuyapata na hata badilika pindi utakapo muoa.
 
We jamaa chei chei nini!sijawai kuona raha duniani wakati roho yangu inaitajika mbinguni!nilijua unamcha mungu kumbe ule ule uzinzi?madhafanta we
 
Back
Top Bottom