Kupata msichana mwenye akili za kimaisha,kimaendeleo na anaeweza kukukosoa unapokwenda wrong ni raha sana.
i love my beibe!!..
kweli kabisa mtu unampenda lakini yeye anakuona kama zezeta na unajipendekeza sana kwake, ukipata nafasi ya kupendwa pendeka na thamini upendo wa yule mtu.Pole sana.Mimi naamini,chanzo cha mwanamke kukubadilikia ni mienendo yako binafsi.Believe me,when a woman loves,loves for real.Akibadilika,jichunguze wewe binafsi mienendo yako.He will go to search for the best one..
Kupata msichana mwenye akili za kimaisha,kimaendeleo na anaeweza kukukosoa unapokwenda wrong ni raha sana.
i love my beibe!!..
Im pretty sure that your mumy did a great job in raising you! Ni wanaume wachache sana wenye mawazo kama yako, hasa kuwa tayari kukosolewa na mwanamke! Mpende sana that woman and most of all mheshimu kila siku ukiwa nae karibu na hata awapo mbali na wewe.
Kupata msichana mwenye akili za kimaisha,kimaendeleo na anaeweza kukukosoa unapokwenda wrong ni raha sana.
i love my beibe!!..
I will marry her next year.