Raha sana...!

Lady doctor

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
8,756
Reaction score
7,005
Jf raha jamani no stress no maudhi najikuta natabasamu tu ninapo soma thread na comments za watu, sometime najiuliza nilikuwa wapi mpaka nakosa huu utamu.
Teh teh teh acha nicheke na JF niongeze umri wa kuishi mie.
Baba v, ndio naingia sasa jukwaani.
 
am doubt with multiple ids haya chekelea mama..
 
unaweza kuilinganisha na raha gani nyingine uliyowahi kupata huko nyuma?
 
unaweza kuilinganisha na raha gani nyingine uliyowahi kupata huko nyuma?
Nyuma gani tena omba msamaha. Then tubu dhambi zako, ili uende mbinguni. Mwanaume hana nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…