Raha, Tamu na chungu ya VPN

Raha, Tamu na chungu ya VPN

mkuu sio kwamba ios hakuna vpn zipo ila yeye alisema apk. yan ni sawa wewe unataka audio iwe kwenye format ya mp4.
sijui nielezee vipi.. ila ni kama app za whatsapp yaan kote android na ios zipo ila za android ndo zinaitwa apk (android package) za ios haziitw apk!

Hapo nimekuelewa mkuu
 
IMG_20201030_145447_2.jpg
 
Lissu kukamatwa tena. Kufunguliwa mashtaka yasiyo na dhamana
Lissu kukamatwa tena. Kufunguliwa mashtaka yasiyo na dhamana
November 3, 2020
Polisi wamerandaranda sehemu alipo Lissu ili wamkamate upya.

Taarifa kutoka chanzo cha uhakika zinadai makachero na Polisi wametanda kila sehemu wakisubiri atoke tu na kumtia mbaroni baada ya kubaini kuwa jana walikosea kumkamata eneo ambalo kwa mujibu wa Sheria ya Kimataifa ni makosa.

Lissu akikamatwa, inasemekana atafunguliwa mashtaka ya uhaini (si ugaidi) na mkakati ni kuhakikisha anabaki kizuizini kwa muda usiopungua miaka 5.

Bado tunafuatilia kwa karibu kinachoendelea na tutakujuza wote walioshiriki katika kukamatwa kwake na maagizo yalipotoka.
 
Kuna mtu kavurugwa huku hadi kavurugika
IMG_20201111_141059.jpg
 
Back
Top Bottom