Raha, Tamu na chungu ya VPN

VPN ninaitumia kwa ajili ya updates za @kigogo2014, I don't wanna Miss a thang
Mkuu naomba updates hata PM tu nitashukuru,,maana mie kwangu hola kabisa. Nimebakia na JF tu ndo inafanya kazi
 
Mwenye VPN ambayo Insta inafunguka atume link hapa, mimi yangu ya London nina uwezo wa ku access Twitter na YouTube tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…