Raha ya bia uanze kulewa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Ukianza kulewa ๐Ÿบ inakuwa tamu sana. Pale ubongo unapofurahia maisha na kusahau shida zinazokuzunguka. Kama una 20,000 ambayo unaitegemea mpaka the next pay day, utamu wa bia utakwambia maisha yenyewe mafupi haya.

Baada ya bia tatu utatamani supu ya kongoro. Ukishaweka pilipili kwenye supu inapendeza kushushia na kitu ๐Ÿบ.

Kesho ukiamka asubuhi unakutana na chenji ya 600/
 
Sky Eclat Hulali
 

Ila mkuu vipi madhara, pesa, kujidharaurisha, kupigana, moyo, blood preasure, diabetes, kumiss kazi.

Vipi ukilingalisha faida na hasara.
 
Ila mkuu vipi madhara, pesa, kujidharaurisha, kupigana, moyo, blood preasure, diabates, kumiss kazi.

Vipi ukilingalisha faida na hasara.
Mkuu kama wote tungeishi kwa kufuata sheria kusinge kuwa na magereza. Kufa utakufa tu iwe kwa high BP au kwa diabetes. Maisha yenyewe mafupi haya.
 
Mkuu kama wote tungeishi kwa jurists sheria kidonge kuwa na magereza. Kufa utakufa tu iwe kwa high BP au kwa diabetes. Maisha yenyewe mafupi haya.

Sawa mkuu, live and let live. Ila una kitu gani mkononi, Just curious?
 
kunywa ulewe, wajanja waondoke na marinda yako uliyokuja nayo bar
 
mh! jana umegonga ngapi
 
pombe raha bwana...ila isikuendeshe tu

Ila ndio tatizo lenyewe, wengi inawashinda, wanaenda nyumbani wengine wanapiga wake zao, watoto zao bila sababu. Kesho wanajuta au wanapigana, kesho wanaomba msamaha.

Pia wapo wengi wanaokunywa bila kulianzisha wakilewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ