Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Ukianza kulewa 🍺 inakuwa tamu sana. Pale ubongo unapofurahia maisha na kusahau shida zinazokuzunguka. Kama una 20,000 ambayo unaitegemea mpaka the next pay day, utamu wa bia utakwambia maisha yenyewe mafupi haya.
Baada ya bia tatu utatamani supu ya kongoro. Ukishaweka pilipili kwenye supu inapendeza kushushia na kitu 🍺.
Kesho ukiamka asubuhi unakutana na chenji ya 600/
Baada ya bia tatu utatamani supu ya kongoro. Ukishaweka pilipili kwenye supu inapendeza kushushia na kitu 🍺.
Kesho ukiamka asubuhi unakutana na chenji ya 600/