Raha ya kitambi uwe na vimiguu vyembamba

Kuna dingi mmmoja jirani yangu alikuwa na vimiguu vyembaambaaa halafu kitambi cha wastani akawa anatinga pensi si jamaa wakawa wanamchomekea kuwa anatembelea mikono?
 
Buji ongezea halafu kama ni mwanamke awe amepiga wigi kama helmet ya pkpk na amevaa ma miwani ya lensi kubwa ile ya sh. 2500 pale Mawenzi hospital na awe ame kalikiti nywele
 
<br />
<br />
Nguli una balaa wewe
 
Hivi mmeshawahi kumuona dr slaa kavaa pensi na t shirt ya omo na kapelo ya tigo? Hahaha
 
Bila kujalisha ni kitambi cha utapiamlo au kile cha bia na nyama choma, raha ya kitambi uwe na vimiguu vyembamba, piga kimini na kitop kama wewe ni mdada, au piga pensi kama wewe ni mkaka, ili mguu uonekane vyema.

Kaaazi kweli kweli! Mkuu Bujibuji kwani weye una kitambi?
 
Last edited by a moderator:
Bila kujalisha ni kitambi cha utapiamlo au kile cha bia na nyama choma, raha ya kitambi uwe na vimiguu vyembamba, piga kimini na kitop kama wewe ni mdada, au piga pensi kama wewe ni mkaka, ili mguu uonekane vyema.
Ha ha ha
 
Back
Top Bottom