<br />Buji ongezea halafu kama ni mwanamke awe amepiga wigi kama helmet ya pkpk na amevaa ma miwani ya lensi kubwa ile ya sh. 2500 pale Mawenzi hospital na awe ame kalikiti nywele
mi mwenyewe nina kitambi haswa, mtaani wananiita super parachute, miguu yangu kwa kikwetu inaitwa CHIPOKO.Sasa huku kusemana kumeanza lini we Bujibuji?
<br />Hivi mmeshawahi kumuona dr slaa kavaa pensi na t shirt ya omo na kapelo ya tigo? Hahaha
Bila kujalisha ni kitambi cha utapiamlo au kile cha bia na nyama choma, raha ya kitambi uwe na vimiguu vyembamba, piga kimini na kitop kama wewe ni mdada, au piga pensi kama wewe ni mkaka, ili mguu uonekane vyema.
Mmh!Buji na G_crisi nyie mwiso!!!!!!!!! kama mmechelewa kutembea!
Kama Lodi Lofa aa gazeti la SaniHivi mmeshawahi kumuona dr slaa kavaa pensi na t shirt ya omo na kapelo ya tigo? Hahaha
Ha ha haBila kujalisha ni kitambi cha utapiamlo au kile cha bia na nyama choma, raha ya kitambi uwe na vimiguu vyembamba, piga kimini na kitop kama wewe ni mdada, au piga pensi kama wewe ni mkaka, ili mguu uonekane vyema.
Aiseee!Kama Lodi Lofa aa gazeti la Sani
Aiseee!Kama Lodi Lofa aa gazeti la Sani
Fumbo la Imani, wote tuseme ameeeenBuji, hili fumbo lina maana gani?
HahahahhaaahhaBuji bwana utanifukuzisha mwenzio kazi kwa kucheka.
Meneja wangu leo kapiga bonge la kimini, halafu ana zinga la mguu, kama bomba la antena
Misemo yetu hii ya kitambo tuienzi,naona kama unapotea siku hiziHalafu awe hana masaburi!!