Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,130
- 8,362
Nipe location mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe location mkuu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Karibu kijanaHuyo mdudu sijawahi piga ila kuna siku isiyo na jina Meza itanihusu
Hiyo kitu hata kuku hafikiiiUKIWEZA KUILA HII HATA NYOKA HAKUSHINDI NDO MAANA WALAJI WENGI NI WALEVI
mpka nmemaliza kusoma huu uzi mate yameshajaa mdomon balaaa ngoja jion nikang'ate mnyamaKiTiMoTo, na Ijumaa hii, upate alafu isikauke sana kuwe na ugali flan unga wa kuloweka, kama itawezekana upate na maziwa mgando yasiwe makali sanaaa, then kwa kuwa inajitegemea mafuta basi ukipata kamchicha mafungu mawili sio mbaya, na mda wa kuanza kula zima simu maana unaweza kupokea habari za msiba kila kitu kikaharibika Mshana Jr tunakwama wapiiiiiiiiView attachment 1217155
Teh tehHuyo mdudu sijawahi piga ila kuna siku isiyo na jina Meza itanihusu
Hii tammmmm balaaAiseeeeeeeeeeeee keko machungwa balaaaaaView attachment 1691819