Raha ya kuchenjua makinikia

Raha ya kuchenjua makinikia

sambeke

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2014
Posts
713
Reaction score
651
Juzi nilikuwa nachenjua makinikia guest house na acacia wangu Mara ghafla nyoka akapita pembeni acacia wangu akapiga kelele muhudumu akaja na watu wakajaa Sana imesemekana nilikuwa nachenjua Bila kulipa kodi na nilikuwa nachenjua mtaani kwetu nifanyeje nijisafishe??? Natamani niichukue private jet niondoke kwa aibu..
 
Hivi we ACACIA kichwa chako kinaMAKENIKIA ya kutosha kweli?manake huu uzi sijauelewa kbs.
 
Back
Top Bottom