Raha ya kupanga chumba kimoja

Hahaaaa. Hakika rafiki maisha ni safari.

Na hapo waeza kuta kitandani wote mnatosha. πŸ˜€πŸ˜€

kwenye kitanda tulikuwa tunalala watano watano, wengine kwenye makochi, baada ya mda wa kwenye makochi wanakuja kitandani na wa kitandani wanaenda kwenye kochi wengine kutazama tv πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Hebu huko Mtani naona ushaanza kumtaja yule Mzee wenu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hongera zako mtani kwa kuwa mchinjaji enzi hizo.
 
Mtani huyo itakuwa anataka kulinda mali zake yaani ye kila akiamka akipiga jicho Sub woofer , begi la nguo , viatu na hata jiko la mchina / gesi vyote anaviona. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Asipoviona naona akili inaweza mruka

a tree is known by its fruit
 
Raha nyingine ni pale unapoalika demu ambaye bado hujamkula, halafu analeta mapozi ya sitaki nataka

Halafu geto liwe halina hata kiti, demu akifika room sehemu anayokaa ni kwa bed, kinachofuata ....... Ni kupamba

Room moja ina raha yake bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sijui umewaza nn aisee ila nimecheka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…