Raha ya kupanga chumba kimoja

Raha ya kupanga chumba kimoja

Hahaaaa. Hakika rafiki maisha ni safari.

Na hapo waeza kuta kitandani wote mnatosha. 😀😀

kwenye kitanda tulikuwa tunalala watano watano, wengine kwenye makochi, baada ya mda wa kwenye makochi wanakuja kitandani na wa kitandani wanaenda kwenye kochi wengine kutazama tv 🙂🙂🙂
 
Hakika mtani nilikuwa na kitanda na sabufa yangu mmoja matata basi, na Mimi wageni wa kubwa walikuwa ni wa kike mtani, kwaiyo kukaa chini walikuwa hawawezi wanafikia kitandani tu, kwaiyo nilikuwa na jichinjia tu kama kagere anavyojichinjia sikuhizi .
Hebu huko Mtani naona ushaanza kumtaja yule Mzee wenu. 😂😂😂😂😂

Hongera zako mtani kwa kuwa mchinjaji enzi hizo.
 
Mtani huyo itakuwa anataka kulinda mali zake yaani ye kila akiamka akipiga jicho Sub woofer , begi la nguo , viatu na hata jiko la mchina / gesi vyote anaviona. 😀😀😀
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Asipoviona naona akili inaweza mruka

a tree is known by its fruit
 
Unajua bwana kila kitu kina raha na karaha zake. Sasa kupanga na kuishi ndani ya chumba kimoja, kuna raha na karaha zake pia.

Kwa ufupi karaha zake ni kama pale itokeapo ukapata ugeni jinsia tofauti na wewe (siyo mpenzi wako) hapo lazima kichwa iwake

Tukirudi kunako raha za kupanga chumba kimoja, raha ni nyingi, ila raha na duraha iliyo kuu ni pale unapoamka asubuhi, YAANI VITU VYAKO VYOTE UNAVIONA.
Raha nyingine ni pale unapoalika demu ambaye bado hujamkula, halafu analeta mapozi ya sitaki nataka

Halafu geto liwe halina hata kiti, demu akifika room sehemu anayokaa ni kwa bed, kinachofuata ....... Ni kupamba

Room moja ina raha yake bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua bwana kila kitu kina raha na karaha zake. Sasa kupanga na kuishi ndani ya chumba kimoja, kuna raha na karaha zake pia.

Kwa ufupi karaha zake ni kama pale itokeapo ukapata ugeni jinsia tofauti na wewe (siyo mpenzi wako) hapo lazima kichwa iwake

Tukirudi kunako raha za kupanga chumba kimoja, raha ni nyingi, ila raha na duraha iliyo kuu ni pale unapoamka asubuhi, YAANI VITU VYAKO VYOTE UNAVIONA.
sijui umewaza nn aisee ila nimecheka sana
 
Back
Top Bottom