sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,293
sikuwahi kuwa na id nyingine zaidi ya hii..Wewe kabla ya hii ID ulikuwa na ipi tena? Please nikumbushe jamani eeh-!
Sema tu kweli usiongope hatokuchapa...!!!sikuwahi kuwa na id nyingine zaidi ya hii..
...labda kama ulishawahi ni suspect na id nyingine uitaje...!! The truth will stand..Sema tu kweli usiongope hatokuchapa...!!!
ndio mkuu! katika ID zote hii ndio ilikuwa na comments za ustaarabu ndio maana jamaa akanichagulia hii,ila sikupenda alivyoniondolea ID yangu ya kwanza ilidumu toka 2007 with many bans yaani nikiikumbuka huwa sina hamu ya kuingia jf naonekana mgeni wakati ni mkongweeNdo ukabakiwa na hii ya kikauboi?
:a s 39::a s 39:watu wenye id zaidi ya moja ni wale tunaopigwa ban. Ila kwa wasio pigwa ban ni wachache wenye id zaidi ya moja na utawakuta siasani kazi yao kuanzisha mada then ile mada anaanza kui suport kwa kutumia id nyingine.
Naomba kujuzwa...
Kuna raha gani...!!!???
Ukiwa na username moja tu unakosa nini!!!??
Kwa nini..!!!??
Mi tangu nimeifahamu JF na kuanza kuitumia sijawahi kuwa na id nyingine yoyote zaidi ya sijui nini na ninajivunia id yangu wala sifikirii kutumia id ya ziada kwa lolote lile...sasa wale wanaotumia id's nyingi naomba mnijuze...kuna raha gani!!??
NAWASILISHA...:amen:
hahahahah sema tu hakuna polisi hapo bi dadaMbona moyo unapwita pwita kusema ukweli?
Mbona moyo unapwita pwita kusema ukweli?
kuanzisha uzi cc na kujibu mwenyewe ili uwe maarufu jf...