Raha ya Kutumia ID / Username zaidi ya moja JF...!!!!

Upo kundi gani...!?


  • Total voters
    9
Ni moyo tu shem upwitao?
Hauna ziada ya chengine kipwitacho?
Maanake mi napata wasiwasi kiukweli kusikia wapwitwa ujue? Sasa upwituliwe shem?

Ha ha ha ha Judgement.. Ungejua Madame B anavyokutafuta kisa unamfanya punchin bag mdogo wake YNNAH.. Wewe mchokonoe tu kama hajakupwutua..
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha Judgement.. Ungejua Madame B anavyokutafuta kisa unamfanya punchin bag mdogo wake YNNAH.. Wewe mchokonoe tu kama hajakupwutua..

Yaani namtafuta kwa mapana na marefu.....
Kama amemshindwa mdogo wangu anirudishie kbs.
Mtoto mbichi kabisa yule.
Wengi wanamuwania.............. mmoja wapo wewe sosoliso.

 
Last edited by a moderator:
hii poll ni ya kichit chat. watakao shinda wapewe zawadi. mia
 
Mbona kuna options chache?
Ongezeni walau nne kama
-Nilikuwa nazo nimesahau password
-Nilikuwa nayo imekuwa merged
-Nitakuwa nazo

Hehehehee
Copy kwa Ruhazwe JR
 
Last edited by a moderator:

Watatukana saa ngapi na user Id 1
 
Last edited by a moderator:
Kuna nini kinaendelea hapa...
 
Yaani namtafuta kwa mapana na marefu.....
Kama amemshindwa mdogo wangu anirudishie kbs.
Mtoto mbichi kabisa yule.
Wengi wanamuwania.............. mmoja wapo wewe sosoliso.


Shem ndiyo matatizo yako hayo ukishakua keroro!
Kama hauko bwaksi , mtu kama ww hakuna! Sasa shem nikurejeshea nduguyo shetani wake utampunga wewe?
 
Last edited by a moderator:
Nimewah tumia Id zaidi ya moja, ni ujinga tu kwakweli na hakuna raha yoyote. Mi nawashauri wenye multiple Id's waachane nazo. Sitatumia Id nyingine zaidi ya hii, never!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…