Mama Mdogo JF-Expert Member Joined Nov 21, 2007 Posts 2,976 Reaction score 2,176 Nov 26, 2012 #1 Ebu ona raha iliyoje kwa huyu mtoto kuwa na mama mwenye umbo zuri kumuwezesha kusimama kwa raha ili kuona nini kinaendelea huko mbele. Jamani nani kama mama??
Ebu ona raha iliyoje kwa huyu mtoto kuwa na mama mwenye umbo zuri kumuwezesha kusimama kwa raha ili kuona nini kinaendelea huko mbele. Jamani nani kama mama??