RAHA YA KUWA NA MPENZI MFUPIII...

micky 00

Member
Joined
Apr 24, 2017
Posts
98
Reaction score
98
Ni miaka miwili tangu nipo na huyu mpenzi wangu anaitwaa sharifaa ...nimempendeaa ufupi wakee ni mfupiii sana ...mashikajii wamenisema sana nimuache siendani nae lakin awajuiii ...mambo aliyo nayoo ....yupo vzr sana ..pia hana gharamaa ..kwenye mavazii na chakulaa...mana chips za buku amarizii akimaliza anashindwa kutembeaah ...nakushauri kijana tafutaaa beib mfupiii ...atakupa maendeleo ...
 
Sawa kila mmoja na chaguo lake..wa pambana nae sharifa.
 
Wakiwa hawataki kutoa gemu wanachoropokaga mkononi kama kambale.

Ila mi siwezi kua na mke kijeba, tutazaa stuli.
hahhahaha una felii mzee baba hawana stress hawaa mzee ...mtu unainjoiii ukiwa nae
 
Duh acje akawa Sharifa wangu huyu vp huyo Sharifa yupo wp?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…