micky 00
Member
- Apr 24, 2017
- 98
- 98
Ni miaka miwili tangu nipo na huyu mpenzi wangu anaitwaa sharifaa ...nimempendeaa ufupi wakee ni mfupiii sana ...mashikajii wamenisema sana nimuache siendani nae lakin awajuiii ...mambo aliyo nayoo ....yupo vzr sana ..pia hana gharamaa ..kwenye mavazii na chakulaa...mana chips za buku amarizii akimaliza anashindwa kutembeaah ...nakushauri kijana tafutaaa beib mfupiii ...atakupa maendeleo ...