Raha ya Maisha ni nin?

& my mum ...🙂

Wou i like this
your mum is your happiness
like wise i love my mum so much and my family also is the source of my hapiness i do missthem much kwa muda nikiwa niko mbali nao
Ila Ni kwa vile nawapenda ndo maana ni source ya furaha yangu

Kuhusu post ya pili nikwasababu wengi hudhani hiyo! Wengi huabudu sana pesa, wanadhani kua ndio kila kitu!

Raha kwangu ni nyingi...mpenzi wangu akinibusu huwa naenjoy sana...pia nikiwa na mpenzi wangu tumetoka out amepiga sketi fupi/jeans tight na viatu virefu.. pai nikipiga dili ya hela out of salary..nikipiga pamba kali na marashi ya ukweli.Hivyo ndo vitu ambavyo huwa vinanipa raha zaidi.

mi napata raha cna nkiwa na familia na ndugu 2nakula monde,au nkiwa na mke wangu na watoto wangu kwa upendo esp pale mke anapokua mwaminifu mia kwa mia,au niwapo na masela wangu 2nalabua mastor mi bs rahaa,usisahau hela mfukoni huniondolea stres mara nying real

Yeah kajibu vizuri bt hajasema kwake ni nini kinachompa raha, najua raha ni relative thing, inatofautiana kati ya mtu na mtu, bt kama nilivyosema hapo awali hii thread nikwaajili ya kushare experience so anapaswa aseme kwake ni vipi vyampa raha!

Kwasababu wengi matatizo yao ni tokana na hali mbaya ya maisha

kuto kimilisha yale wapendayo ndio maana wengi hufikiri pesa is everything,

kwa mwenye kubahatika na kuzipata anakuta kumbe sivo....

Hii ndio imenifanya nikauliza lile swali hapo juu kwamba Je unaamini kuwa pesa inaleta raha/furaha? Umenena vyema Ashadii. But hujasema kikupacho raha wewe ni kipi!

Asha Dii,

Kuna raha moja sote twaipenda na twaiweza hata kwa vipato vyetu tafauti.......tutaifuatilia hadi tuipate

Raha gani hiyo mkuu? It seems hii raha inasharewa na wengi, twambie ni ipi!

Hii inategemea na mtu mwenyewe lakini kwangu mimi raha ya maisha ni pale roho yangu inapokuwa imeridhika basi hapo ndipo ilipo amani ya nafsi yangu na ndipo ilipo furaha yangu!!

Ofcoz nakubaliana na wewe ktk hili.

Yeah this is very true

Ila uhalisia sio huo kuna watu hawana pesa wala hawategemei sana hizo ila wana raha za ajabu

But pesa pia inanafasi kubwa ktk mambo fulani fulan, tusiibeze!

Mhhh Excellent bana kuna sehem hata na manyanyaso hayo bado unapata raha wakati unapata ile kitu roho inapenda bana

Manyanyaso huleta raha duh!

Amini usiamini hio raha unayoisema hapa... kwa wengine hi kero hasa wanawake walozaliwa frigid ama kufanyiwa genital Mutilation....

Mimi nimemtegea aiseme ni raha gani hiyo, nadhani atasema UPENDO coz hii ndio amri kuu!

Wewe na mimi twaendana, washikaji, ndugu, jamaa pamoja na wazazi hunifariji sana, hawa ndio haswa macho yangu yalipo, napenda tunavyopendana nao, tunavyoheshimiana na kusaidiana ktk mengi, faraja wanipazo ndio chachu ya kujituma kwangu, nawapenda sana, na nafurahi kwa raha wanipazo maishani mwangu!

& my mum ...

Hata mimi nampenda kweli mama yangu, amenifanyia mengi mpaka kunifikisha hapa!

Haswa!! Ndio maana yangu.. saingine UPENDO ni msingi wa raha, mara nyingi ukizungukwa na wapenzi wako ndugu na jamaa yenye amani na upendo... hata unapopata matatizo hioni karaha saana - hivo yaweza kua part ya raha....

Thanx AshaDii, kwa watakao fatilia michango yako naimani watachota hekima vya kutosha!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…