Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Kama siku itatokea hakuna vibaka, wezi, mafisadi, dhiki, tatizo la umeme na maji magonjwa, n.k

Hata siku moja huwezi kuwa na raha wakati jirani yako anateseka, furaha uliyonayo ni artificial...

Maisha hayana raha kamili ndiyo maana tunahangaika kila siku. Hakuna mtu ambaye amefikia kiwango cha juu cha raha hata hao mabillionea wanahangaika tu. Inabidi tu kuridhika hivyo hivyo. But we keep on trying kufikia self actulization which is never reached. Sasa sijuhi nimechanganya raha na mafanikio. Hope siko nje ya topic.

Raha huwa inasababishwa kuzungukwa na yale mambo unayoyapenda zaid regadless yanampendeza mwingne au la eg kuvuta sigara,kuwa na madem wengi m2 inawezekana raha yake ikawa imelalia huko ila sio busara na vi2 kama hivyo coz kuwabugudhi wenzako kunaweza kukupotezea hiyo raha yako.
Raha ni kuwa huru na mwenye afya, vingine vyote malizia.Hii inategemea na mtu mwenyewe lakini kwangu mimi raha ya maisha ni pale roho yangu inapokuwa imeridhika basi hapo ndipo ilipo amani ya nafsi yangu na ndipo ilipo furaha yangu!!

Kwangu mimi,raha pekee ninayo ipata ni kufahamu kwamba

katika yote ninayotenda,nina samehewa na kwamba natarajia

kufika kwenye raha ya milele mbinguni.

Kwamba shida zote za dunia ni changamoto ya

ku-develop character yangu ambayo ina reflect nini nitapewa

nikifika nyumbani.

Nafurahia sana safari yangu,.....