Raha ya Maisha ni nin?

Always nisomapo biblia ujumbe niupatao ni mmoja tu, Nao ni UPENDO, kila kifungu chasisitiza upendo though kwa namna tofauti. Naungana nanyi, UPENDO ndio mambo yoto, unatupa furaha na raha, upendo tuupatao watufanya tufurahie maisha!

So kwako raha ni Mpenzi, Busu, Skin jeans na Pesa? Hahahahaha! Ni experience nzuri nimeipata!

Kama siku itatokea hakuna vibaka, wezi, mafisadi, dhiki, tatizo la umeme na maji magonjwa, n.k

Hata siku moja huwezi kuwa na raha wakati jirani yako anateseka, furaha uliyonayo ni artificial...

Binadamu tuliomo duniani ni vigeugeu sana na pia dunia yenyewe ni kigeugeu. Unaweza ukaona raha kuwa na watu wanaokupenda, kukujali na kukufariji mpaka ukajisikia raha maishani lakini ikatokea siku yakakukuta mengine hususani matatizo, ukashangaa hao hao waliokupenda na kushirikiana na wewe ndo wanakugeuka tena wanakuwa wa kwanza kukukimbia na kujitenga na wewe hadi ndugu zako wa damu!! Sasa piga picha imekuwa hivo kwako, je raha yako ya maisha itaisha?

Ofcoz human nature is very complex and unpredictable, it is something dynamic! Bt licha ya yote kwangu faraja yangu ni kufanya kitu kwa ajili ya watu wangu, siku zote nimekua nikiomba kwa mungu wangu juu ya hili. Upendo na Maelewano kwa wanandugu, marafiki, najamaa ni chachu ya furaha kwa wengi!

No body is incharge of ua life except god. Mungu ni furaha, upendo pamoja na amani! No body can bring u a piece of mind other than ua self!! piece of mind is EARNED and CAN NOT B GIVEN BY ANYBODY!!!

Raha ya maisha ni kupendwa na umpendae. vingine vyote mbwembwe tu za maisha!

Raha kwangu ni kuwa na amani ya roho na kuwaona wote niwapendao wakiwa na furaha

No body is incharge of ua life except god. Mungu ni furaha, upendo pamoja na amani! No body can bring u a piece of mind other than ua self!! piece of mind is EARNED and CAN NOT B GIVEN BY ANYBODY!!!

Safi sana mkuu, atleast wewe umemkumbuka Baba Muumba!

Raha ya maisha ni kuokoka.feel surounded by angels....

Ofcoz! watu waliookoka kwao hujiona kama wapo dunia nyingine tofauti na hii. Hii nao ni experience muhimu kwetu! Safi mkuu!

Raha kwangu ni kuwa na amani ya roho na kuwaona wote niwapendao wakiwa na furaha

Gaga mimi na wewe tunashare the same taste. Hakika upendo watupa faraja na raha ya kufurahia maisha!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…