Raha ya Maisha ni nin?

Raha ya maisha ni kumuabudu na kumpenda Mungu kwa roho moja na kutii amri zake

Kama siku itatokea hakuna vibaka, wezi, mafisadi, dhiki, tatizo la umeme na maji magonjwa, n.k

Hata siku moja huwezi kuwa na raha wakati jirani yako anateseka, furaha uliyonayo ni artificial...

Hahahahahaha!

Maisha hayana raha kamili ndiyo maana tunahangaika kila siku. Hakuna mtu ambaye amefikia kiwango cha juu cha raha hata hao mabillionea wanahangaika tu. Inabidi tu kuridhika hivyo hivyo. But we keep on trying kufikia self actulization which is never reached. Sasa sijuhi nimechanganya raha na mafanikio. Hope siko nje ya topic.

Raha ya maisha tusidanganyane bwana ni kupiga au kupigwa bao, full stop. Naona wengine mnaumauma maneno hapa.

Haupo nje kiasi hicho bt hujasema wewe kikupacho raha ni nin? Au ndio mafanikio?

Raha huwa inasababishwa kuzungukwa na yale mambo unayoyapenda zaid regadless yanampendeza mwingne au la eg kuvuta sigara,kuwa na madem wengi m2 inawezekana raha yake ikawa imelalia huko ila sio busara na vi2 kama hivyo coz kuwabugudhi wenzako kunaweza kukupotezea hiyo raha yako.

Asante sana mkuu, approach yako nimeipenda!

Kwangu mimi,raha pekee ninayo ipata ni kufahamu kwamba
katika yote ninayotenda,nina samehewa na kwamba natarajia
kufika kwenye raha ya milele mbinguni.

Kwamba shida zote za dunia ni changamoto ya
ku-develop character yangu ambayo ina reflect nini nitapewa
nikifika nyumbani.
Nafurahia sana safari yangu,.....

Hi 2 all

Kufanya na Kupata chochote ukitakacho kwa muda uupangao wewe

Furaha ya kweli haipatikan kwa chochote ila kwa kuisha vile ambavyo m/mungu ametuelekeza

Hii inategemea na mtu mwenyewe lakini kwangu mimi raha ya maisha ni pale roho yangu inapokuwa imeridhika basi hapo ndipo ilipo amani ya nafsi yangu na ndipo ilipo furaha yangu!!
Raha ni kuwa huru na mwenye afya, vingine vyote malizia.

Clemmy ur a true beliver of christ i gues! Ni jambo jema kuwa jirani na kutambua nafasi ya muumba wetu ktk maisha tuishiyo. Maisha ni safari yenye changamoto, uwepo wa mwenyezi mungu watupa imani ya kufika salama. HAKIKA TUTASHINDA!

Hi 2 all

Kufanya na Kupata chochote ukitakacho kwa muda uupangao wewe

Na kiwe na manufaa kwa wengi, kiwafurahishe wengi na kiwe halali. Sio ukipate kwa wizi ama utapeli.

Furaha ya kweli haipatikan kwa chochote ila kwa kuisha vile ambavyo m/mungu ametuelekeza

Hapa utakuwa unazungumzia UPENDO kwani maandiko yatutaka tuishi kwa Kupendana, UPENDO NDIO AMRI KUU YA MUUMBA KWETU.

Huwezi kupata yote kwenye maisha ndo maana kila siku tunahangaika ............kikubwa nachoomba kila siku nikuwa na amani moyoni kila wakati najikuta na smile na kuyaona maisha mepesi.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…