utantambua
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,367
- 323

Raha na Maisha NI VITU viwili vitenganishwe, (utulivu na amani ya kweli ndio raha) wakati sabuni ya roho ni pesa. ukiwa na pesa maisha ni mazuri, kwa binadamu wa kawaida starehe ni sehemu ya raha na ni pesa hutumika kwa njia moja au nyingine laakini kwa maisha bora kinachotakiwa ni amani na utulivu wa akili na mwili kwa dhati. hiyo ndio tafsiri ya raha na maisha bora.

So wewe huna raha/furaha ya maisha?

Kuna nyakati huwa nina furaha sababu ya kitu flani halafu baada ya muda kitu hicho hicho ndo kinakuja nipa stress mpaka najuta (mapenzi), kuna kipindi nakua sina raha sababu sina pesa but ikitokea nikikamata pesa sometimes hata hiyo raha niliyodhani ntaipata nakosa, so nashindwa kujua raha/furaha yangu inapatikana ktk nini haswaa