Kama wewe si mgeni katika mapenzi utakubaliana na mimi kuwa siku zote raha ya mapenzi ni kupendwa lakini si kupenda.Maana hebu angalia ikitokea umempenda demu/men wewe unayependa muda wote huwa hauko huru ila ikitokea unafahamu kuwa unapendwa huwa unakuwa na faraja sana moyoni tofauti na yule anayependa.