Raha ya mapenzi kupendwa na si kupenda.

Raha ya mapenzi kupendwa na si kupenda.

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
277
Kama wewe si mgeni katika mapenzi utakubaliana na mimi kuwa siku zote raha ya mapenzi ni kupendwa lakini si kupenda.Maana hebu angalia ikitokea umempenda demu/men wewe unayependa muda wote huwa hauko huru ila ikitokea unafahamu kuwa unapendwa huwa unakuwa na faraja sana moyoni tofauti na yule anayependa.
 
kupenda pia kuna raha yake,maan ukiwa n umpendae ni burudani kubwa sn...n zaidi utayaenjoy sn mapenzi!
 
@Mrembo, hapo niko na mrembo tu...Wala simwachi mpaa anipende.
 
kwa kweli siwezi kufurahia mapenzi ya upande mmoja, lazima tupendane wote
 
hakuna raha kwa mapnz ya upande mmoja!raha ni wote kupendana!
 
Mapenzi huwa yana-expire. Hali huwa ni mbaya mno iwapo mmoja kati ya wapendanao expire date ikiwa imeshafika!
 
ni kweli ukipenwa na m2 umpendae kwa kweli mapenzi yanakuwa matamu mno!
 
1. Kupenda ni utumwa
2. Kupendwa ni kero
3. Kupendana ni ujinga

Hakuna chochote kizuri
 
Back
Top Bottom