Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,250
Kuna Mwanamke nilimtongoza kwa alivyonijibu ilinibidi nipumzike kutongoza mwezi 1
alikujibu nn mkuu hebu tupeane uzoefuKuna Mwanamke nilimtongoza kwa alivyonijibu ilinibidi nipumzike kutongoza mwezi 1
Mzee baba kuna majibu ujakutana nayo sijui niseme lugha usiombe mimi niliwai kulala saa 12 jioni mpaka kesho iyo ndio kichwa kidogo kikawa kipo kwenye setting yaani basi tu.Mimi mwanamke nikimtongoza akinijibu dharau ndio kwanza kanitilia petroli, bora anijibu kistaarabu.. Hakyamama akileta dharau nitamfungulia ghala la silaha nahakikisha namtupia makombora ambayo hawezi kwepa yote..
ha ha ha cute b tupe basi baadhi ya vipande mnavyopendaga kuvisikiaTatizo baadhi ya mitongozo inaboa.
Imekaa kizamani zamani.
Unatongoza mdada wa miaka 20+ na mitongozo ya kijinga kama unarubuni mtoto wa la saba [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57].
Silaha mnazotumia ni zile zile, hamna jipya.
Wengine mnatumia nguvu nyingi kama mnalima, hadi anayetongozwa anavuja jasho.
Ila kuna wanaume wanajua kutongoza bhanaa, hadi unasikia raha. (Wapo mikoani tuu)
Kaeni vizuri na wanaume wa mikoani watawapa mbinu.ha ha ha cute b tupe basi baadhi ya vipande mnavyopendaga kuvisikia
KWA HIYO MKUU UNAKUTA UMEINGIA KWENYE MAHUSIANO AUTOMATICALLYMimi sijawahi tongoza...ila wanawake ndo wananitongozaga sana...sijui ni mkosi au Bahati hata sielewi
mI MWENYEWE WA MKOANI LAKINI SI UNAJUA SOUND INATEGEMEA NA MUHUSIKA ANAYETONGOZWAKaeni vizuri na wanaume wa mikoani watawapa mbinu.
KWA HIYO MKUU UNAKUTA UMEINGIA KWENYE MAHUSIANO AUTOMATICALLY
Ila ukijua kutongoza raha sana hasa ukimkaba mtu ndani ya 18 ANAKUWA HANA JIBUNdio mkuu...ila sema huwa mahusiano hayadumu vigezo navyovihitaji nakuta hana
Sijawahi pata bahati ya kutongoza mtu ninayempenda...Ila ukijua kutongoza raha sana hasa ukimkaba mtu ndani ya 18 ANAKUWA HANA JIBU
Sijawahi pata bahati ya kutongoza mtu ninayempenda...[/QUOTE
Kwa hiyo mkuuu mpaka sasa hujampata unayempenda?
Hivi biashara ya kutongoza bado ipo?
Wengi wanajitongozesha siku hizi. Tatizo vijana hawajui kusoma alama za nyakati.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] natamani kujua alikujibujeKuna Mwanamke nilimtongoza kwa alivyonijibu ilinibidi nipumzike kutongoza mwezi 1