Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Mimi mwanamke nikimtongoza akinijibu dharau ndio kwanza kanitilia petroli, bora anijibu kistaarabu.. Hakyamama akileta dharau nitamfungulia ghala la silaha nahakikisha namtupia makombora ambayo hawezi kwepa yote..
Mzee baba kuna majibu ujakutana nayo sijui niseme lugha usiombe mimi niliwai kulala saa 12 jioni mpaka kesho iyo ndio kichwa kidogo kikawa kipo kwenye setting yaani basi tu.
 
Tatizo baadhi ya mitongozo inaboa.
Imekaa kizamani zamani.
Unatongoza mdada wa miaka 20+ na mitongozo ya kijinga kama unarubuni mtoto wa la saba [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57].
Silaha mnazotumia ni zile zile, hamna jipya.
Wengine mnatumia nguvu nyingi kama mnalima, hadi anayetongozwa anavuja jasho.
Ila kuna wanaume wanajua kutongoza bhanaa, hadi unasikia raha. (Wapo mikoani tuu)
 
ha ha ha cute b tupe basi baadhi ya vipande mnavyopendaga kuvisikia
 
Hivi biashara ya kutongoza bado ipo?
Wengi wanajitongozesha siku hizi. Tatizo vijana hawajui kusoma alama za nyakati.

Kutongoza ukujawai kuwa biashara na hakukkwai pitwa na wakati kwani simapitio ya maisha bali ni sehemu ya maisha kamili.

Inamaana uliowai kuwapenda wote walikuja kujitongozesha kwako ?
 
Back
Top Bottom