Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Nakuwa naye close tu. Baadaye mwenyewe ataomba kupajua ninapoishi au nitamwalika chakula cha jioni sehemu fulani. Akija utashangaa usiku unaingia lakini haagi. Ukiona hivyo ujue tayari
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ....huyo demu asiyetaka kurudi kwao ni wa aina gani???

Hayo maharage ya mbeya
 
mi kuna binti nilikua nasoma nae bhana sasa nilikua nimemuelewa sana kama kawaida ukimpenda mtu huwezi kujizuia kumkodolea macho mara kwa mara ,cha ajabu sasa kila nikimuangalia namkuta na yeye ananitazama,moyoni nikajisemea huyu shorii atakua amenielewa pia daah what a coincidence?..basi siku nimejipanga hatari nikapiga moyo konde kwenda kumsemesha mrembo daah kumbe huo ni mtego ili nijilengeshe aiseee aloo kilichonikuta aisee nilipewa vya mbavuu ilibidi nipige pozi kutongoza mwaka mzima kwanza nijiulize nakosea wapi au nina gundu..wanawake nyie shenzi sanaaa...
 
Mi sitongazagi naongozwa na lugha ya picha tu, mwanamke wa kukukubalia namjua nikimwona tu na mara nyingi nikirusha jiwe simkosi, mwanamke ambae najua hawezi nikubali nae nikimwangalia tu namjua na hua sihangaiki nao, tatizo lenu mnapanic sana
 
Tutawatongoza tu hadi dunia igeuke.
Kwanza mim kila nikikataliwa ndio hupta nguvu ya kutongoza.
Haaahaaa....wanaume wengi ukimkataa sijui why ndo anageuka mwiba!

Kuna jamaa ofisini huwa ananifurahisha sana ( japo sionyeshi)... Toka nimemjibu shombo 2 years now anakuja na kila aina ya mbinu, zingine nazielewa zingine chenga! ....in a nutshell jamaa hakatagi tamaa, huwa nacheka kinoma coz hata dunia tubaki wawili tu siwezi kumkubali coz simpendi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mi sitongazagi naongozwa na lugha ya picha tu, mwanamke wa kukukubalia namjua nikimwona tu na mara nyingi nikirusha jiwe simkosi, mwanamke ambae najua hawezi nikubali nae nikimwangalia tu namjua na hua sihangaiki nao, tatizo lenu mnapanic sana
Kumchinja kobe inahitaji timing😀.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .....jus haaaahaaa!
 
Sasa hapo ndo ndipo point yangu inapokua.
Niliwahi kukutana na mschana mmoja mji tofauti na wangu nilimkatia kwa mwaka mzima na mwisho wa siku aliambulia mikononi na hakuamini kma kingetoa hvyo. Inawezekana jamaa japokua humpendi ila alishindwa kujua nyinyi kuna vitu mbali mbali hua mnapenda mim nilijaribu mbinu 2 tofauti na ndio mpka hii leo najivunia nazo japokua hua hamfanani.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ok mkuu....jitahid kuwa fresh wadada hatupendi hizo mambo....tutajiuliza ndevu tu hajanyoa je v.uzi si utakuwa mkia wa punda
Ooh kumbe!ila wifi yako anapenda ndevu balaa ,ndo aliyenishauri nifuge
 
Mi sitongazagi naongozwa na lugha ya picha tu, mwanamke wa kukukubalia namjua nikimwona tu na mara nyingi nikirusha jiwe simkosi, mwanamke ambae najua hawezi nikubali nae nikimwangalia tu namjua na hua sihangaiki nao, tatizo lenu mnapanic sana
Nifundishe hizo mbinu mkuu
 
Mi sitongazagi naongozwa na lugha ya picha tu, mwanamke wa kukukubalia namjua nikimwona tu na mara nyingi nikirusha jiwe simkosi, mwanamke ambae najua hawezi nikubali nae nikimwangalia tu namjua na hua sihangaiki nao, tatizo lenu mnapanic sana
Kweli mkuu ila na sisi tunakomaa sana mim binafsi nnapohisi pale sitopaweza bas sijihangaishi.
 
Tatizo mkuu sumu ya kutongoza huna pambana na hali yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…