mi kuna binti nilikua nasoma nae bhana sasa nilikua nimemuelewa sana kama kawaida ukimpenda mtu huwezi kujizuia kumkodolea macho mara kwa mara ,cha ajabu sasa kila nikimuangalia namkuta na yeye ananitazama,moyoni nikajisemea huyu shorii atakua amenielewa pia daah what a coincidence?..basi siku nimejipanga hatari nikapiga moyo konde kwenda kumsemesha mrembo daah kumbe huo ni mtego ili nijilengeshe aiseee aloo kilichonikuta aisee nilipewa vya mbavuu ilibidi nipige pozi kutongoza mwaka mzima kwanza nijiulize nakosea wapi au nina gundu..wanawake nyie shenzi sanaaa...