Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Hapo umesema kweli mim hua na hio tabia japo nikienda kuona washkaji zangu wa kike huwabebea japo vi snickers,cudbury na vitu vilivyokua sweet bas hta kma sio dem wako utapendwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanaume wengi hii mbinu huwaga zimewakalia kushoto.....lkn itakuwa ubahili!

Hakuna mwanamke atakayekupenda hii dunia kama una mkono wa birika!...mwanamke hata kama analipwa 20m per month na wewe mwanaume unasukuma mkokoteni[emoji23] [emoji23] ..still anataka hela ako!...this is naked truth[emoji15]

Huu ni ukweli mchungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…