Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Sometimes wanawake wanakuwa na dharau na maneno ya kuumiza kuumiza kisaikolojia pale ambapo unafanya harakati za kumtongoza au kumfanya umpate.

Ieleweke tu by nature kumtongoza mtu kwa kifupi ni kama unamshobokea mtu au kwa lugha rahisi lazima umshobokee unayetaka kumtongoza kwa kujipeleka kuanzisha kuongea nae hata kama hamjawahi ongea.

Hii ni kuanzia kuomba namba mpaka kumchatisha kila siku bila ya yeye kukuanza. Unamuanza yeye tu “mambo" yaani kwa kifupi ni unajipendekeza ila utafanyaje na nature ishakuwa hivyo?

Sasa tatizo upande wa pili wenzetu wanawake wanashindwa kuelewa hili unakuta mtu anakudharau. Hivi siku ambayo wanaume wataamua kugoma kutongoza kila mmoja asiwe na shobo na mwenzie hivi duniani ingekuwaje?

Au wanawake mngepewa nyinyi jukumu hili mngeliweza? Acheni zenu bana hakuna anayependa kumshobokea mwenzie ila kwa sababu ya nature hatuwezi kwepa.

Sasa wewe unalazimisha ukubaliwe? Jitafakari sana una matatizo gani yanayokufanya ukataliwe.
Siyo kila mwanamke anatabia kama zako. UKOME KABISAAAAAAAAAA
 
Ha ha ha ha umenikumbusha jamaa mmoja wa Arusha aliniambia "unajua nini " mamilooo" kusema kweli....."
Huwa napenda sana majina yao wanayoita wanawake....mf mamilooo, mamakeee, mamaaa na mama mdogooo ( ukiwa mdogo mbichi bichi) na mshangazii ( ukiwa mkubwa)[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] them
Nimecheka sana... Nimekumbuka wimbo wa dogo janja... Ngarenaro
 
Nikupeleke ngarenarooo oooh!! Huo??
Sema nini Arusha pa ukweli sana. Sijapata ona.
Huo huo.... Kuna sehem anaweka swaga za mamiloo[emoji39][emoji39].... Nilikuambia mwanangu alihamia kabisa anapaita Rbella au Chugga[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom