Raha ya single mother akupende mwenyewe, tatizo mnafosi

October 2pm

Senior Member
Joined
May 2, 2023
Posts
106
Reaction score
282
Niseme nisiseme!

Tatizo lenu mnadandia dandia Wanawake hovyohovyo alafu mkija kupigwa za uso mnaanza kutukana Single Mother, Wanawake ni walewale, ukijichanganya wanakufanya kitu mbaya.

Huyu single mother kiukweri amenipenda mwenyewe, she is my body, Sio kulazimishana. Mtasubiri sana... Sijui nilikuwa wapi!

Nimesema
 
Akikuacha uje pia kusema, utaanza kushusha machukizo yake
 
Single maza hatakiwi olewa
Hapo piga kimbia kama Langa
 
Niseme nisiseme!

Tatizo lenu mnadandia dandia Wanawake hovyohovyo alafu mkija kupigwa za uso mnaanza kutukana Single Mother, Wanawake ni walewale, ukijichanganya wanakufanya kitu mbaya.

Huyu single mother kiukweri amenipenda mwenyewe, she is my body, Sio kulazimishana. Mtasubiri sana... Sijui nilikuwa wapi!

Nimesema
Kama uliona kaburi la mume wake na cheti cha kifo kakuthibitishia endelea naye ila kama mme wake hajafa,,,,,,,,,,,,

Utapigwa na kitu kixito sana 👇👇👇
 
1edf8133-f7c2-47d6-b719-bcb7e484da09.jpg
 
Niseme nisiseme!

Tatizo lenu mnadandia dandia Wanawake hovyohovyo alafu mkija kupigwa za uso mnaanza kutukana Single Mother, Wanawake ni walewale, ukijichanganya wanakufanya kitu mbaya.

Huyu single mother kiukweri amenipenda mwenyewe, she is my body, Sio kulazimishana. Mtasubiri sana... Sijui nilikuwa wapi!

Nimesema
Barikiwa mkuu
Aione To yeye kwenye shajara
 
Niseme nisiseme!

Tatizo lenu mnadandia dandia Wanawake hovyohovyo alafu mkija kupigwa za uso mnaanza kutukana Single Mother, Wanawake ni walewale, ukijichanganya wanakufanya kitu mbaya.

Huyu single mother kiukweri amenipenda mwenyewe, she is my body, Sio kulazimishana. Mtasubiri sana... Sijui nilikuwa wapi!

Nimesema
Endelea kula mema ya nchi mkuu,wasikutishe[emoji1][emoji2960]
 
Back
Top Bottom