Huku Mbeya watu ni wakarimu sanaUnafikiri nakunywa bar za uchoroni kama wewe bwashee? nimetoa mtazamo wangu tu hata humu waislam wengi wana busara sana kuliko wanaojiita Wakristo
WapoHii kweli au umejitungia tu na ku-print?
Hakuna binadamu hata kama ni mpumbavu kiasi gani anayeweza kuamini haya.
Soma tenaKivipi yaani π .
Bila shaka we ni muha!Niliacha kwenda kanisani na misikitini ka sababu: wasabato ni wanajifanya wanasayansi na kujifanya kuwa wao hawana shida maishan kilichoniudh zaid ni lile somo cjui la nchi za ngambo cjui la mataifa na kanisa halina milango.
2. Walokole kwa kunitoa hela ati maji ya baraka na vibahasha vya michango kama vyote na kuigiza ati wanaombea wehu, viwete, na vilema kumbe ni watu wao waliokochiwa,
3. Islam ni ubaguzi wakujiona wao ndio wao mara eti bikra 72 wanasubiri mtu akifa huko cjui mbinguni. Tangu lini Ali wa gongo la mboto,yusuph masanja wa ilemela ibra wa soweto akapangiwa vibikra na kwanza nani kwapanga hao vibikra.
4. Catholic ni baada ya kujua kua padre hawaoi lakini wao wanafungisha ndoa na kuhubiri pamoja na kushaur maswala ya ndoa. Nilitorokea dirishani hadi wa leo sijawai rudi.
5. Kkkt ni baada ya kugundua kuwa ni mtoto wa roma nkajua mtoto wa nyoka ni nyoka tu na sio kinyoka coz kama mtoto hakumsikiliza babake yeye akaasi atanihubiria nin yule
FREE Lissu ndo nimeanza glass ya kwanza ya konyagi
Busara ni tabia tu ya mtu haina uhusiano na dini yake. Hii observation umeijenga kwa kutumia sampuli gani?Waislam ni watu wenye busara sana na waadilifu ,nenda sehemu au ofisi za umma hudumiwa na muislamu halafu na mkristo halafu pima , muajiri muislamu kwenye biashara yako halafu muweke mkristo halafu pima , kwenye maisha ya kawaida kabisa wanachofundishwa Waislam kina impact chanya kwa umma zaidi ya walokole
Hayo makundi unayoyasemea yafuatilie vizuri utayajua undani wake , ila waislamu wengi hasa walio shika dini yao vizuri mara nyingi ni watu wenye busara na waaminifu mno , nimeajiri kwenye vibiashara vyangu makundi yote haya ila waislam ndio walioonyesha uaminifu wa hali ya juu , hivyo naongea ninachokijua kwa undaniBusara ni tabia tu ya mtu haina uhusiano na dini yake. Hii observation umeijenga kwa kutumia sampuli gani?
Tukija kwenye mafundisho ya dini hizi mbili, Dini ya kiislam inajulikana kwa mafundisho hardcore, makundi mengi sumbufu hapa duniani ni ya kiislam/yanatumia dini ya kiislam kupata uungwaji mkono. Hapa utasema kuna busara?
Sasa si wanapata nao starehe ya kufikishwa KILIMANJARO? Maana mwanamme anapewa NGUVU ya kupiga mashine kwa wanawake 70 kwa siku yaani MOTO JUU YA MOTO.Nimekutana na baadhi ya clip za mashehe, wakielezea namna wanakopaita peponi kutakavyokua na starehe kwa watakaoenda.
Moja kati ya starehe walizozitaja ni kuwepo kwa mabikra wa kutosha kwa kila mwanaume, swali langu ni je? Wanawake watakaofanikiwa kufika huko peponi watapewa nini? Wakati waume zao wakichakata bikra??.
Nawasirisha
π
Kwani umeshawahi kusikia shehe yoyote akiongelea wanawake kuhusu mambo ya peponi? Mwanzo nami nilikuwa nikidhani kila mwanamke atakayefika peponi na atajipatia vijeba 72(haki sawa kwa wote) lakini inaokena kama safari ya peponi wao haiwahusu.Nimekutana na baadhi ya clip za mashehe, wakielezea namna wanakopaita peponi kutakavyokua na starehe kwa watakaoenda.
Moja kati ya starehe walizozitaja ni kuwepo kwa mabikra wa kutosha kwa kila mwanaume, swali langu ni je? Wanawake watakaofanikiwa kufika huko peponi watapewa nini? Wakati waume zao wakichakata bikra??.
Nawasirisha
Kule ni roho yako mkuu huo mwili na icho kidude ni mali ya mchwa izo bikra labda za upepoNimekutana na baadhi ya clip za mashehe, wakielezea namna wanakopaita peponi kutakavyokua na starehe kwa watakaoenda.
Moja kati ya starehe walizozitaja ni kuwepo kwa mabikra wa kutosha kwa kila mwanaume, swali langu ni je? Wanawake watakaofanikiwa kufika huko peponi watapewa nini? Wakati waume zao wakichakata bikra??.
Nawasirisha
bikra zao, tena zote.
Kwahiyo hutaki sasa? πππ
Nashendwa kuwelewa hapo zote ,kwani bikra kwa mwanamke zipo zaidi ya moja?Kwahiyo hutaki sasa? πππ
Watapewa Bikra,Wanawake watakaofanikiwa kufika huko peponi watapewa nini?