kwa wale wenye mama au wazazi kike ambao ni mashallaah msipanic mara paaaaap unapita kichochoroni au mtaani una kutana na mama yako kabananishwa na jamaa tall lina mandevu big mbavu nene kifua tako alafu unaona mama yako anajichekesha chekesha,kabla ya apo alitoka kukupa somo la mahusiano..mara tena paaaaap jamaa anashika bunooo la mazaaa wanaondokaa alafu ukikumbuka nyumbani umemua baba yako kalaza kitambiiiii katika kochi...
swali ni: je utafanya nini...?????????????