Raheem sterling: Kijana aliyekuwa super sub sasa anafukuza mwizi kimya kimya!

Ila tatzo kamtombea Silva mke wake ndyo maana Silva hachezi
Kumbe na wewe ulikua unaamini huu upuuzi..!?
Mke wa Silva alijifungua kabla ya muda unaotakiwa...
Hivyo Silva alikua anashindwa kucheza kwasababu hali ya mtoto wake haiko vizuri,hadi sasa Madaktari wanapigania maisha ya Mateo(mtoto wa Silva)..!
Mjifunze kuwa wadadisi,sio kila taarifa unaipokea kama ilivyo..!
 
Guardiola hajui kununua Wachezaji, anajua kutengeneza wachezaji.

Sio Raheem tu, hata Kompany sasahv anacheza one two, hatoi tena mijasho na kupambana hovyo.

Guardiola is a Manager.

Acha mbwembwe lini gadiola alimtengeneza mchezaj
 
Elezea kinagaubaga, anapewaje tu kisha anafunga. Ni penalty, pasi. Na ni wangapi wanapewa tu na wanakosa.
Elezea kinagaubaga


I'm a big fan of Manchester city,, dogo anajitahidi mno,,,so anatakiwa apambane na mabeki kama vile De bruyen na Aguero kazi wanayoifanya sio ndogo, na sio kusubiri tu upewe pass then ufunge...
 
Fabian Delph...
Kutoka Midfielder wa kawaida hadi kuwa top left back...
John Stones kutoka kuwa average CB hadi kuwa one of the top CBz in Europe..!
Una kingine..?
Angalia gharama zao za kusajiliwa unaweza kuelewa uwezo wao uwanjani kama ulikua huwafahamu kabla ya kusajiliwa na m.city
 
Wachezaji wa kiingereza hao! Subiria wakikutana wenyewe kwenye kile wanachokiita timu ya taifa ya England tena World cup ya mwaka huu uone aibu yao
 
Sasa hivi tupitishe sheria hapa JF kuwa habari kama hizi bila picha ziwe ni habari fake rasmi!
 
ulimuona delph na stones walipokua kwenye timu zao kabla ya kwenda city!!?..au ulikua unawaangalia las palmas na levante
Nilimuona Delph akiwa Aston Villa pia nilimuona Stones akiwa Everton...
Wote walikua ni average players...
Bila kusahau Fabian Delph hakuwa anacheza nafasi ya LB akiwa Aston Villa..!
Una swali lingine..!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…