juan de otaru
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 211
- 113
alilazimisha move ya kwenda man city so hapakuwa na namnaliverpoll tunajuta kumuuza huyu kijana-yani ile TRIPLE S yetu ya suarez,sterling na sturridge ni sturridge pekee ndio afanyi vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alilazimisha move ya kwenda man city so hapakuwa na namnaliverpoll tunajuta kumuuza huyu kijana-yani ile TRIPLE S yetu ya suarez,sterling na sturridge ni sturridge pekee ndio afanyi vizuri
Ya kweli haya?
Kumbe na wewe ulikua unaamini huu upuuzi..!?Ila tatzo kamtombea Silva mke wake ndyo maana Silva hachezi
ripoti apewe haki yakeSikutarajia utanihakikishia kwa kauli hii...samahan kama nimekukera ila usingenitukana kwa namna hiyo mkuu.
Elezea kinagaubaga, anapewaje tu kisha anafunga. Ni penalty, pasi. Na ni wangapi wanapewa tu na wanakosa.Kijana yupo vizuri sana,,,anatakiwa apambane na mabeki na sio kupewa tu kisha unafunga
Ahahaaaaaaaaaaah...Silva alikuwa sio majeruhi lakn alikuwa hachezi sababu ya familly issues ambazo ni hizo
Acha mbwembwe lini gadiola alimtengeneza mchezajGuardiola hajui kununua Wachezaji, anajua kutengeneza wachezaji.
Sio Raheem tu, hata Kompany sasahv anacheza one two, hatoi tena mijasho na kupambana hovyo.
Guardiola is a Manager.
"gadiola" ndio nani?Acha mbwembwe lini gadiola alimtengeneza mchezaj
Dunia ni kijiji mbivu mbichi zinajulikana thanks kwa taarifa sahihi
Fabian Delph...Acha mbwembwe lini gadiola alimtengeneza mchezaj
EehhhIla tatzo kamtombea Silva mke wake ndyo maana Silva hachezi
Elezea kinagaubaga, anapewaje tu kisha anafunga. Ni penalty, pasi. Na ni wangapi wanapewa tu na wanakosa.
Elezea kinagaubaga
kweli mkuu lakini raheem tayari alikuwa amisha iva toka akiwa liverpoolGuardiola hajui kununua Wachezaji, anajua kutengeneza wachezaji.
Sio Raheem tu, hata Kompany sasahv anacheza one two, hatoi tena mijasho na kupambana hovyo.
Guardiola is a Manager.
ulimuona delph na stones walipokua kwenye timu zao kabla ya kwenda city!!?..au ulikua unawaangalia las palmas na levanteFabian Delph...
Kutoka Midfielder wa kawaida hadi kuwa top left back...
John Stones kutoka kuwa average CB hadi kuwa one of the top CBz in Europe..!
Una kingine..?
Angalia gharama zao za kusajiliwa unaweza kuelewa uwezo wao uwanjani kama ulikua huwafahamu kabla ya kusajiliwa na m.cityFabian Delph...
Kutoka Midfielder wa kawaida hadi kuwa top left back...
John Stones kutoka kuwa average CB hadi kuwa one of the top CBz in Europe..!
Una kingine..?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] had hurumaaSikutarajia utanihakikishia kwa kauli hii...samahan kama nimekukera ila usingenitukana kwa namna hiyo mkuu.
Nilimuona Delph akiwa Aston Villa pia nilimuona Stones akiwa Everton...ulimuona delph na stones walipokua kwenye timu zao kabla ya kwenda city!!?..au ulikua unawaangalia las palmas na levante