Raheem sterling: Kijana aliyekuwa super sub sasa anafukuza mwizi kimya kimya!

Steerling kwangu si mchezaji bora ila ni mwananfunzi mwenye adabu mwenye kuyatenda mafunzo ya mwalimu kwa ufanisi..

Kazi ya guardiola hii
 
Guardiola hajui kununua Wachezaji, anajua kutengeneza wachezaji.

Sio Raheem tu, hata Kompany sasahv anacheza one two, hatoi tena mijasho na kupambana hovyo.

Guardiola is a Manager.

Angekuwa Ni mourinho wetu angeshamuuza sterling

Kwakeli simkubali morinyo
 
Ni mmoja katika wachezaji wabovu sana kwenye timu.
 
Mkuu we ni shabiki wa liver kweli? Yaani hujui hata raheem aliondokaje unasema tunajuta kumuuza? Liver mchezaji ambae walijuta kumuuza ni Robbie Fowler
Duh unamjua robbie fowler ,mchezaji mtanashati lazima utakuwa unamju mc manaman na Patrick berger
 
liverpoll tunajuta kumuuza huyu kijana-yani ile TRIPLE S yetu ya suarez,sterling na sturridge ni sturridge pekee ndio afanyi vizuri
Majongoo hawakuwa na namna kijana alipooneshewa wadhifa haikuwa kazi rahisi kuzikataaa
 
Duh unamjua robbie fowler ,mchezaji mtanashati lazima utakuwa unamju mc manaman na Patrick berger
Kama unamfahamu Robbie Fowler take kiplasta kwenye pua from today basi ujijue Wewe ni Mhenga[emoji2]
 
Steerling kwangu si mchezaji bora ila ni mwananfunzi mwenye adabu mwenye kuyatenda mafunzo ya mwalimu kwa ufanisi..

Kazi ya guardiola hii
Jibu rahisi

Steerling amekutana na mwalimu anayejua kutumia vipaji
 
Otamend kabadilika sana hats Mangala
Pep ni kocha anajua kutumia vipaji vizuri kupitia mfumo wake pia kuwabadilisha wachezaji waliokuwa wakawaida na kuwa threate likely Otament...Mangala Eckram
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…