Raheem sterling: Kijana aliyekuwa super sub sasa anafukuza mwizi kimya kimya!

Raheem sterling: Kijana aliyekuwa super sub sasa anafukuza mwizi kimya kimya!

Steerling kwangu si mchezaji bora ila ni mwananfunzi mwenye adabu mwenye kuyatenda mafunzo ya mwalimu kwa ufanisi..

Kazi ya guardiola hii
 
Guardiola hajui kununua Wachezaji, anajua kutengeneza wachezaji.

Sio Raheem tu, hata Kompany sasahv anacheza one two, hatoi tena mijasho na kupambana hovyo.

Guardiola is a Manager.

Angekuwa Ni mourinho wetu angeshamuuza sterling

Kwakeli simkubali morinyo
 
Mkuu we ni shabiki wa liver kweli? Yaani hujui hata raheem aliondokaje unasema tunajuta kumuuza? Liver mchezaji ambae walijuta kumuuza ni Robbie Fowler
Duh unamjua robbie fowler ,mchezaji mtanashati lazima utakuwa unamju mc manaman na Patrick berger
 
Duh unamjua robbie fowler ,mchezaji mtanashati lazima utakuwa unamju mc manaman na Patrick berger
Kama unamfahamu Robbie Fowler take kiplasta kwenye pua from today basi ujijue Wewe ni Mhenga[emoji2]
 
Back
Top Bottom