GE2025 Rahma Mwita: Wanasiasa wanawake wanapitia ukatili mtandaoni, acheni matusi dhidi yao

GE2025 Rahma Mwita: Wanasiasa wanawake wanapitia ukatili mtandaoni, acheni matusi dhidi yao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Rahma Mwita amewataka wanaofuatilia siasa mitandaoni kuacha tabia ya kutukana viongozi kwa sababu ni udhalilishaji wa mwanamke na wazazi wao wenyewe.

 
Back
Top Bottom