PostGE2025 Rahma: Nilipokua nagombea ubunge sikuombwa wala kutoa chochote, walinichagua tu kwa kuniamini

PostGE2025 Rahma: Nilipokua nagombea ubunge sikuombwa wala kutoa chochote, walinichagua tu kwa kuniamini

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mbunge wa Viti Maalum, Rahma Kisuo, akizungumza kwenye kipindi cha One on One cha Wasafi TV amesema wakati alipogombea ubunge, hakuombwa wala kutoa chochote ili kupata nafasi hiyo, bali alichaguliwa kutokana na kuaminiwa.

Kisuo amesema hayo akieleza namna alivyopata nafasi ya kugombea ubunge, akisisitiza kuwa ushindi wake ulitokana na imani waliyojenga kwake, badala ya kutoa fedha au kitu chochote.

Nilipokua nagombea ubunge sikuombwa wala kutoa chochote, walinichagua tu kwa kuniamini.”

 
Back
Top Bottom