Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
CHADEMA hamnaga akili ., Kwa hiyo unafikiri Vinagawiwa kama peremendeViti Maalum vinagombewa?
Na kama ulitoa utasema ?Ukiombwa utasema?
Wanagombea kwenye chama kuna kuwa na watu zaid ya mmoja ambao wanawania iyo nafasi wanapigiwa kura na wajumbe wao ukoViti Maalum vinagombewa?