Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 8,632
- 23,673
Kuna mbaba mmoja wa kirangi mtaani ni mtu mwenye hela zake, lakini anaishi na virusi vya ukimwi (mwathirika). Huyu mzee kwa sababu ana vijihela, basi amekuwa akiwarubuni watoto wa kike yani hachagui wanafunzi, Malaya, wake za watu, ndugu zake, mpaka mashoga wote pakia. Huyu jamaa alishawahi kumrubuni mke wa mjeshi aliyekuja kuomba mkopo kwenye kampuni ya vikoba manzese, basi akamtaka kimapenzi ili apatiwe huo mkopo wa million mbili. Yule mama akaenda kumweleza mumewe ambae ni mjeda, basi wakamtega kama panya nae akauingia mtego. Kifupi yule mjeda alikuja na njemba baunsa tatu, jamaa akatafunwa 0713 na njema tatu na tukio likarekodiwa na video. Hili tukio lilitolewa mpaka kwenye gazeti la sani, fumanizi na kuliwa na njemba na mjeda
Kipindi cha uchaguzi alienda kugombea ubunge huko Dodoma, wale njemba walirudi na video wakamwambia asipowalipa million ishirini basi watazisambaza na kweli jamaa kushindwa wakauza ile video ya jamaa anakunwa kwa chama kungwi. Chama kungwi kikapita bila upinzani watu wakaona mbunge mtarajiwa analiwa, akapigwa bao la mkono na kura akakosa. Hili jamaa haliko sawa kichwani lishatembea na wanawake sio chini ya 500, hapiti mwanamke mbele yake akamuacha salama. Hiyo michezo ya kuliwa 0713, ishamtokea mara tatu tofauti na matukio tofauti akaliwa 0714, 0715 na 0716 na bado hajakoma, mwisho wa siku najiuliza labda anapenda. .
Huyu mzee sio peke yake nishamuona na mzee mwingine nae ni hivyo hivyo, kazi yake kubwa ni kutembea na mwanamke kila juma, anawabadilisha kama mashati ya mtumba. Kitendo hiki kinanikera sana kwani hao anaotembea nao ni dada za watu, wake za watu, mama za watu; wengine ni mashemeji, mabinamu, majirani nk. Mtaani kumenuka sana inawezekana asilimia 50% ya tunaoishi nao wameukwaa kwa kutojua hawa watu na mambo yao meusi na machafu. Bahati nzuri kwa wanawake wanaosambaza kwa makusudi sijakutana nao, ila najua kwa sisi ambao tunajali jamii inayokuja serikali na wizara usika waingilie kati hili swala.
Juzi nilipeleka malalamiko kwa mwenyekiti wa serikali za mitaa, nikamweleza kwa kasi hii ya huyu mzee basi hapo baadae UKIMWI utakuwa janga kubwa sana kwenye taifa letu. Wakitokea watu kama hawa wenye uwezo wa kutembea na wanawake mia tano basi hata mia, Dar es Salaam kama tuijuavyo itakuwa imekwisha kabisa. Nikamweleza mwenyekiti wazi wazi kama serikali ya mtaa wachukue jukumu la kufatilia ili kulinda haki za jamii, lakini mwenyekiti akajibu “yule mzee tabia zake chafu siku nyingi” na hatua hakuchukua. Vitendo hivi vya kusambaza UKIMWI kilazima kitaua watu wengi sana na taifa litakuwa na wazee na watoto, watu wa umri wa kati watakufa sana. JAMBO HILI LINANIKERA MNO.
RAI KWA SERIKALI NA BUNGE:
WANAUME: Kwa wanaume wanaosambaza UKIMWI kwa makusudi si kwamba nawabagua walioathirika la hasha, nawatetea taifa la kesho, Tanzania ya kesho, hawa wanaume wahanisiwe tu ili kulinda watoto na vijana. .
WANAWAKE: Kwa wanawake ambao wanaambukiza watu ukimwi kwa makusudi, basi wanawake hawa wapigwe muhuri kwenye “NYUKE” (UKE) zao ili watu wawatambue kabla hawajavaa magonjwa. Taifa linaangamia hatuwezi kaa kimya hata siku moja, litakapokuwa tatizo kubwa litashindikaka kutatuliwa. .
NYONGEZA: Kama hayo maamuzi tajwa hapo juu yataoneka ni maamuzi yenye kuvunja haki za binadamu, serikali na wizara husika, basi wataalamu wawachome sindano za kuua mihemko. Hawa watu waishi tu bila mihemko ili watuletee maendeleo, TENA YANAYOKENDANA NA KASI YA VIWANDA. .
Nimewakilisha HOJA na haina MJADALA; 'It's either them or us.' HIV FREE GENERATIONS BEGINS WITH YOU AND ME.