Mimi nimependa huyo mke wa mjeda alichofanya tena anaonesha ni mwanamke anayejiheshimu sana. Licha ya kwamba alikuwa ana shida hakuwa tayari kufanya ujinga. Hao wengine wakifata mfano huo inakuwaje? Watakuwa wameokoa jamii inayoumia na kuwasaidia hao wanafunzi lakini hawapazi sauti kulalamika Wala kushtaki hivyo anaona sawa tu.
Wewe hapa ulichoandika ni makisio na hata kamà ni kweli watakaothibitisha kufanyiwa hivyo ni hao wanawake, Je watakuwa tayari kukupa ushirikiano ili akamatwe? Wakiamua kumtetea ili wafiche aibu ya kufanya mapenzi na mtu mwenye HIV utaficha wapi aibu hiyo?
Kuna mtu kapeleka shutuma TAKUKURU au polisi? Je, nawe pia ni mhanga wa udhalishaji huo? Kama sio mhanga ,unaowasemea wamekutuma uwasemee?