Mechi ya watani wa jadi ni mechi ambayo ndo mechi kubwa katika soka la Tanzania.
Rai yangu kwa viongozi hii ndo mechi ambayo club mwenyeji unaweza ukafanya biashara.
Hii mechi ni kubwa kibiashara kuliko hata mechi dhidi ya Tp mazembe.
Naomba viongozi wa simba ka mtapitia jamii forum hii ndo sehemu tosha ya timu kujiongezea mapato kwa kuweka viingilio kama mlivyokua mnafanya Kwenye mechi za club bingwa Africa. Itasaidia kua kuongeza mapato ya club.
Pili kama account zetu za you tube zingetumika kuonesha live hii mechi ingesaidia sana kuongeza subscriber Kwenye account ya YouTube.
Viongozi wa simba mnapojiandaa kwa ajili ya uwanjani kupata matokeo mazuri, pia iandaeni hii mechi kibiashara zaidi.
@ simba nguvu moja.
Sent using Jamii Forums mobile app