Rai kwa viongozi wa simba kuelekea mechi ya watani wa jadi tarehe 4/1/2020

Payrol

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2018
Posts
2,286
Reaction score
3,082
Mechi ya watani wa jadi ni mechi ambayo ndo mechi kubwa katika soka la Tanzania.
Rai yangu kwa viongozi hii ndo mechi ambayo club mwenyeji unaweza ukafanya biashara.
Hii mechi ni kubwa kibiashara kuliko hata mechi dhidi ya Tp mazembe.
Naomba viongozi wa simba ka mtapitia jamii forum hii ndo sehemu tosha ya timu kujiongezea mapato kwa kuweka viingilio kama mlivyokua mnafanya Kwenye mechi za club bingwa Africa. Itasaidia kua kuongeza mapato ya club.
Pili kama account zetu za you tube zingetumika kuonesha live hii mechi ingesaidia sana kuongeza subscriber Kwenye account ya YouTube.
Viongozi wa simba mnapojiandaa kwa ajili ya uwanjani kupata matokeo mazuri, pia iandaeni hii mechi kibiashara zaidi.
@ simba nguvu moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo viongozi wetu ni uneducated, refer kocha Aussem
 
Saa sita Leo mchana viongozi watakua mubashara,usihofu wamekusikia wazo lako watalifanyia kaz
 
Hakuna janjajanja msimu huu...muamala umefail mapema
 
.
Mechi ya watani wa jadi ni mechi ambayo ndo mechi kubwa katika soka la Tanzania.
Rai yangu kwa viongozi hii ndo mechi ambayo club mwenyeji unaweza ukafanya biashara.
Hii mechi ni kubwa kibiashara kuliko hata mechi dhidi ya Tp mazembe.
Naomba viongozi wa simba ka mtapitia jamii forum hii ndo sehemu tosha ya timu kujiongezea mapato kwa kuweka viingilio kama mlivyokua mnafanya Kwenye mechi za club bingwa Africa. Itasaidia kua kuongeza mapato ya club.
Pili kama account zetu za you tube zingetumika kuonesha live hii mechi ingesaidia sana kuongeza subscriber Kwenye account ya YouTube.
Viongozi wa simba mnapojiandaa kwa ajili ya uwanjani kupata matokeo mazuri, pia iandaeni hii mechi kibiashara zaidi.
@ simba nguvu moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1311037

Jr[emoji769]
 
Haki za matangazo za mechi zote za ligi kuu ya Vodacom ni za Azam Media hivyo hilo la mechi kwenda live kupitia YouTube channel ya klabu litakua gumu.
Vinginevyo waongee na Azam Media kwanza, jambo ambalo ni ngumu kukubaliwa kwa sababu nao (Azam) ndio wanategemea kupiga hela kupitia mechi hiyo kubwa kwa sababu watu watalipia ving'amuzi kwa wingi ili wasikose uhondo huo.

Mengineyo nayaunga mkono.
 
Back
Top Bottom