RAI - Nguvu ya Hoja?

Mwanakijiji,

Hata Lowasa ana akili. Mtu akishakuwa anakununua hawezi kukuajiri maana atakuwa anakuona ni kibaraka tu unayejiuza kwa mwenye nazo zaidi!

FairPlayer, ingekua si mwezi mtukufu ningekupa bonge la ofa ya kiti moto!!!! Lakini itabidi nikuandalie futari la nguvu kule Raskazone!!!! Unajua mtu akikununua anajua iko siku atakuja mwenye fedha zaidi atakununua pia. Iliwahi kunitokea mtu mmoja muhimu a mbaye pia ni source mkubwa wa information akaniomba kwa gharama zozote nimpe source ya information fulani iliyomgusa sana nikamgomea, akakasirika sana, lakini baada ya siku tatu akaniita ofisini kwake, nikajua anaenda kunikomesha, sikuogopa. Nilipofika akanipa information nyingine na kuniambia, "sasa nimepata faraja kuona kwambaunazingatia MAADILI ya kazi zako" kwa hiyo hata hao wanaowanunua waandishi kama Ballile, Kulangwa na wengineo wanajua kwamba iko siku nao watapata mwenye dau kubwa watasalitiwa.
 


Very well said mkubwa sina la kuongeza kwa sasa .Balile kaisha and I warned him mapema sana kama rafiki lakini akawa analewa senti za kifisadi .
 
Kithuku kama hujui kaa kimya. Sio kila kitu lazima kiwe na interest kwako,hao waliojibu unawaona wapumbavu? Kama unaona kitu hakikufai,angalia mambo mengine.
Simple like that

Samahani mkuu! Shikamoo!
 
He! Na kulangwa naye keshanunuliwa? hao wengine walionunuliwa ni akina nani?

Kama uko katika media utakuwa unawajua, lakini kwa hao wawili hata wale ambao hawamo ndani ya media wanawajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…