Rai yangu tunaitaji kujifunza silaha za jadi

maandamano

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2025
Posts
726
Reaction score
1,548
Wakati nakua chumbani kwa baba yangu kulikuwa na mkuki,upinde na mishale yake pamoja na jambia,yale ambayo yanakaa kwenye ala yake,

Inamaana baba alikuwa mzoefu alifundishwa kutumia silaha na baba yake,mimi leo mtu mzima sijui hata kutumia kisu kujilinda maana yake baba yangu hakunifundisha

Leo hii nione mwanafamilia anatekwa nabaki tu kukodoa macho sababu sina uwezo wa kujilinda
Huku tunakoelekea tunaitaji tupate mafunzo ya silaha za jadi kwa ajili ya kujilinda maana serikali imeshindwa kutulinda
 
Toa location sie walimwengu tuje tukupe shule.
 
Hili wazo ni mujaarabu sana naunga mkono hoja…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…