Raia 2 wa Bangladesh wanyongwa baada ya kukutwa wakifanya Mapenzi Msikitini Makka

Raia 2 wa Bangladesh wanyongwa baada ya kukutwa wakifanya Mapenzi Msikitini Makka

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,818
Reaction score
7,940
Raia wawili wa Bangladesh wamenyongwa kisha miili yao kusafirishwa mpaka nchini mwao baada ya kufanya kosa la kufanya mapenzi katika Msikiti huko Maka nchini Saudi Arabia 🇸🇦 ambapo ni kosa na kinyume na sheria za taifa hilo la Kiislam.

Ubalozi wa Bangladesh nchini Saudi umedai kuwa hawakupewa taarifa yoyote na Mamlaka ya nchi hiyo, Raia hao ni Nazrul Islam Abdul Basir na Siti Akhtar, walikamatwa na kufikishwa Mahakamani huku baada ya kuhukumi miili ikarejeshwa nchini mwao.

Raia wawili wa Bangladesh, Nazrul Islam Abdul Basir na Siti Akhtar, walinyongwa Jumatano, tarehe 14 Oktoba 2026, katika eneo la Makkah, Saudi Arabia. Taarifa hiyo ilitangazwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudi Arabia na kuripotiwa na The Daily Star na bdnews24.com.
 
Kwanini walifanya hivyo,hata kama ni kuzidiwa na hamu huo ni utovu mkubwa wa nidhamu watu wajifunze kuheshimu heshima ya kitu na mazingira.
 
Kwanini walifanya hivyo,hata kama ni kuzidiwa na hamu huo ni utovu mkubwa wa nidhamu watu wajifunze kuheshimu heshima ya kitu na mazingira.
Labda ilikuwa fantasy yao... 🤣 Anyway nimebahatika kuiona hiyo video clip... Kwa msongamano ule ilikuwa lazima vikojoleo vigusane
 
Raia wawili wa Bangladesh, Nazrul Islam Abdul Basir na Siti Akhtar, walinyongwa Jumatano, tarehe 14 Oktoba 2026, katika eneo la Makkah, Saudi Arabia. Taarifa hiyo ilitangazwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudi Arabia na kuripotiwa na The Daily Star na bdnews24.com.
Misikiti huwa imegawanywa pande 2 ...male na female, kwa mazingira ya huko walipataje mwanya wa kuyafanya hayo? Anyway Msikiti umefaidika na nini kwa kunyongwa kwao? Wangesamehewa tu maana neno linafundisha "7x70"
 
Back
Top Bottom